Mfanyabiashara MO Dewji inadaiwa katekwa alfajiri leo

Leo October 11, 2018 Mfanyabiashara maarufu nchini MO Dewji inadaiwa ametekwa watu wasiojulikana alfajiri ya leo akiwa anaingia Gym.

Shuhuda aliekuwa eneo la tukio “Akiwa anaingia Gym wamepiga risasi juu wakakimbia nae”.