RC Makonda Afunguka kutekwa Mo Dewji “Kuna watu wapo chini ya ulinzi tayari”

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda anazungumza akiwa eneo la tukio ambalo LeoOctober 11, 2018 Mfanyabiashara maarufu nchini MO Dewji ametekwa akiwa anaingia GYM alfajiri.