Zari Athibitisha Maneno ya Diamond Kuwaita Watoto Kima

Mwanadada  Zari the bossy aliamua kumuwish ba awa watoto wake diamond platinumzkheri ya  kmbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake  ambapo , kama ilivyo hapo awali zari nae alipokea salamu hizo kutoka kwaDiamond.

Ingawa hali imekuwa ni tofauti kwa Diamond na kwa zari kwa sababu Diamond alimuandikia Zari maneno matamu sana yaliyofurahisha wengi lakii hii imekuwa tofauti kwake.

Katika ukurasa wake wa instagram, Zari aliweka picha ya watoto wake wawili aliozaa na Diamond na kisha kuandika “HAPPY BIRTHDAY MWENYE KIMA VYAKE” Kitendo achmbo inawezekana wengi hawakukitegemea kabisa kutoka kwa mwanamama huyo.

Hata hivyo neno la kima lilitoka kwa diamond mwenyewe hapo kipindi cha nyuma alipokuwa akigombana na hawa baby mamas wake na kujikuta akiwaita watoto majina mabaya kama hayo.